Usikose kesho bajia za mchicha tamu balla recipe itakuweko mchana saa 6 uk sawa na saa 10 jioni easy africa.
Show more
11 months ago • queenshibas kitchen
Usikose kesho bajia za mchicha tamu balla recipe itakuweko mchana saa 6 uk sawa na saa 10 jioni easy africa.
16
0
1 year ago • queenshibas kitchen
Napenda kuwafahamisha page zangu za Instagram zote 2 pamoja na Facebook .zimekuwa hacked please kila aliye nifollow naomba afanye ku un follow mana hawa waliyo ni hack me wamekuwa wanazunguka kuwatumia watu msg za mchango na kuwataka wampigie vote tafadhali wajuilishe na wengine ukiwajibu wanaweza kui hack page yako au hata kuingia kwenye mambo yako ya bank na vitu mhim..
5
2
1 year ago • queenshibas kitchen
Tupo tanzania kwa Eid-alhaj, kutowa order piga number 07113 51497. Tunatuma hadi dar-es-salam.
5
0
2 years ago • queenshibas kitchen
Coming soon on my channel.
23
3
2 years ago • queenshibas kitchen
Usikose kesho sosi ya nyeupe ya uyoga kwa saamaki wa kuchoma
20
0
3 years ago • queenshibas kitchen
Usikose recipe hii ni nzuri sana na rahisi kupika, wali wa maini na cabbage jekundu 👌👌. Leo jioni 10.30 East Africa Time
29
1
3 years ago • queenshibas kitchen
Usikose kuangalia channel yangu leo ifikapo saa 10.30 jioni East africa time .
23
0
3 years ago • queenshibas kitchen
Do you ever test jowar ladu Stay tune 3.30pm uk time for full recipe. Ushawahi kuonja dalu za mtama? Usikae mbali na channel yangu kesho saa 3.30pm itakuwa hewani.
25
1
3 years ago • queenshibas kitchen
Full recipe itakuweko kesho kwenye channel yangu siyakukosa utamuwake.
25
0
4 years ago • queenshibas kitchen
13
1