Info
Kwa majina naitwa FAMDULA MOHAMED SALILEJE kwa jina maarufu ni Famooh , wangine wanapenda kuniita YAO BOY MANEMBA ni muimbaji wa mziki
Nimezaliwa mtwara wilaya ya masasi kata ya namwanga , kijiji cha nakalola. pia nimeanza kusoma shule ya msingi Nakalola, Sekondary nimesoma Namwanga day kata ya namwanga, kisha nikasoma chuo cha ufundi wa magali masasi , shule ya maendeleo , nikaona sielewi nikatoka nyumbani kuelekea dar es salam kuja kutafuta maisha , so nikaangukia keko magurumbasi nikawa nafanya kazi ya kutengeneza sofa,.
Hapo ndipo ilianza safali yangu ya mzik rasmi.
Napenda kutoa shukurani kwa kila mtu alie husika kunishika mkono kunitoa katika sehemu moja kwenda nyingine
Facebook// Famoohtz
Tiktok///famoohtz
Instagram/ Famoohtz
sportfy//famoohtz
deezer//famoohtz
Stats
Joined Invalid Date
0 total views